Breaking News

Your Ad Spot

Nov 12, 2013

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.38 ZA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA NBC TABATA


 Meneja
Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) eneo la Tabata, Joseph Nicholous
(kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 38,
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya uchimbaji visima ya Basic Co. Ltd, Deo
Bishubo kwa ajili ya gharama ya kuchimba kisima cha kina kirefu katika
Zahanati ya NBC Tabata, Dar es Salaam juzi.Anayeshuhudia makabidhiano
hayo ni Muuguzi Kiongozi wa Zahanati hiyo, Semeni Mtauka.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Baadhi ya wakazi wa Tabata miongoni mwao wakiwemo wagonjwa akishuhudia makabadhiano ya msaada huo

 Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu (kushoto) akielezea mikakati ya TBL ya kusaidia upatikanaji wa maji katika baadhi ya vituo vya afya na zahanati nchini.

 Muuguzi kiongozi wa zahanati hiyo, Mtauka akitoa shukurani kwa TBL kuwapatia msaada wa kisima hicho kitakachosaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza tatizo la maji.

 Mkazi mmoja wa Tabata akitoa shukrani kwa TBL kwa msaada huo

Zahanati ya NBC Tabata

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages