Breaking News

Your Ad Spot

Nov 12, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA MGODI WA MADINI UNAIMILIKIWA NA WATANZANIA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi mgodi unaomilikiwa na kampuni ya Nsagali uliopo Ushirombo wilayni Bukombe, Mkoa wa Geita jana. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh.Masele,Waoili kushoto ni mmoja wa wamiliki wa mgodi huo Bwana Emmanuel Silanga, Wanne kulia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mh.Profesa Kalikoyela Kahigi na kulia mwisho ni Mkuu wa Mkoa mpya wa Geita Said Magalula.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages