Breaking News

Your Ad Spot

Nov 6, 2013

UZINDUZI WA MPANGO A USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UINGEREZA WAYANFIKA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Maendeleo ya Kimataifa, Justine Greening  (kushoto) kabla ya kuzindua Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo kati ya Tanzania na Uingereza katika Maendeleo ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika katika hoteli ya  Hyatt Regency- Kilimajaro mjini Dar es salaam Novemba 5,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Mpango wa Shirikiano wa maendeleo kati ya Tanzania na Uingereza katika Maendeleo  ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regencey Kilimanjaro jijini Dar Novemba 5, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi wa Uingereza anayeshughulikia  Maendeleo ya Kimataifa , Jusne Greening (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Baadhi ya washiriki wa  Uzinduzi wa Mpaango  waUshirikiao wa Maendeleo kati yaTanzania na Uingereza katika Maendeleo ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika  katika hoteli ya Hyatt Regency mjini Dar es salaam Novemba 5, 2013 wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages