Breaking News

Your Ad Spot

Dec 25, 2013

CHEKI NG'OMBE HUYU WA SHUGHULI YA KRISMAS

Kamera yetu ilikumbana na tukio hili la kusafirishwa ng'ombe huyu wa shughuli wakati wa pilikapilika zetu pande za Mbagala Mbagala nje kabisa ya jiji la Dar es Salaam, wazo langu la kwanza lilikuwa ni je ng'ombe huyu anaenda kuchinjwa kwa ajili ya Krismas ya Leo?

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages