Breaking News

Your Ad Spot

Dec 19, 2013

DK. FENELLAN AFUNGA SEMINA YA WAZAZI WA KINONDONI ILIYOFANYIKA MOROGORO

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari, VIjana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Kawe,  Benjamin Joseph, alipotoa vyeti kwa wahitimu wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata zote za Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, mwishoni mwa semina hiyo, leo Desemba 19, 2013, katika ukumbi wa Hioteli ya Road View, nje kidogo ya mji wa Morogoro. Wengine kutoka wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM, wilaya ya Kinondoni Salum Madenge na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi wilaya hiyo, Charles Mgonja. Jumla ya wahitimu 70 walitunukiwa vyeti baada ya kuhitimu semina hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages