Breaking News

Your Ad Spot

Dec 22, 2013

LOWASSA AFUNGUA TAMASHA LA MADEREVA WA BODABODA DAR ES SALAAM


 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwapungia mkono kuwaaga madereva wa  bodaboda  baada ya kumaliza kufungua tamasha lao lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders club Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo. 
 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, akipokea maandamano ya madereva wa Bodaboda kwenye Viwanja vya Leaders Club leo.
 Madereva wa Bodaboda, wakimbeba msanii wa muziki wa kizazi kipya Linex wakati akitoa burudani katika Tamasha lao baada ya kuwapagawisha na kibao chake cha 'Bodaboda'.
 Tamasha hilo likiendelea kwa kila aina ya ujumbe...
 Madereva Bodaboda wakilifuta vumbi gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa baada ya kumaliza kuwafungulia tamasha lao kwenye Viwanja vya Leaders, jijini Dar es Salaam leo.

Madereva Bodaboda wakilisukuma gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa baada ya kumaliza kuwafungulia tamasha lao kwenye Viwanja vya Leaders, jijini Dar es Salaam jana. Na MpigapichaWetu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages