Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami
Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjarooooo
Ajali mbaya imetokea mda huu eneo la mto wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo,Dj sek blog imefanikiwa kupata picha kadhaaa za ajali hiyo,Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari. PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ SEK BLOG
Your Ad Spot
Dec 2, 2013
Home
Unlabelled
MALORI YAGONGANA WAMI MCHANA HUU, YASABABISHA MSONGAMANO WA MAGARI
MALORI YAGONGANA WAMI MCHANA HUU, YASABABISHA MSONGAMANO WA MAGARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot





No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269