Breaking News

Your Ad Spot

Dec 2, 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA BENKI SIMIYU

 
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Azania Bw.William Erio(kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bwana Charles Singili(kulia) wakifuana kitambaa katika jiwe la msingi kushiria kuzindua Benki ya Azania tawi la Lamadi, Mkoa mpya wa Simiyu  jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Azania Bwana William Erio(wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania Bwana Charles Singili(kushoto) wakikata utepe kuzindua rasmi Benki ya Azania Tawi la Lamadi jana.Kulia nia mkuu wa Mkoa wa Simiyu Pascal Mabiti(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages