Breaking News

Your Ad Spot

Dec 21, 2013

MARGARETH SIMALENGA ATUNUKIWA SHAHADA YAKE CHUO KIKUU CHA MZUMBE

IMG-20131221-WA000 Margareth Simalenga, akipozi kwa picha mara baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika Uongozi wa biashara (usimamizi wa mashirika) yaani Master in Business Administration (Corporate Management) katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Cumpas ya Dar es salaam yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.
IMG-20131221-WA001Akiwa katika pozi la picha huku akiwa ameshilikia maua mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo ya uongozi wa biashara.
IMG-20131220-WA027Hapa akipozi na ndugu yake ambaye jina lake halikupatikana mara moja. Imetayarishwa na John Bukuku wa Fullshangwe Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages