Breaking News

Your Ad Spot

Dec 18, 2013

NDEGE YA ETHIOPIAN AIRLINE YATUA GHAFLA ARUSHA BAADA YA KUPATA HITILAFU ANGANI

Habari iliyotufikia kutoka Arusha leo ni kwamba Ndege ya Ethiopian Airline Boing 787 imetua ghafla katika Uwanja wa Ndege wa Arusha baada ya kushindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa  Kilimanjari (KIA) ikitokea Ethiopia kwenda Afrika Kusini.
      Ndege hiyo ilikuwa na abiria zaidi ya 200 na wafanyakazi tisa. kabla ya kupaa tena ilibidi abiria wote wateremke, na kupunguzwa mafuta ili kupunguza uzito wa ndege hiyo. Abiria waliamuriwa kwenda kupandia ndege hiyo kwenye Uwanja wa Ndege wa KIA.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages