Breaking News

Your Ad Spot

Dec 21, 2013

HAKUNA CHA KASEJA WALA OKWI, SIMBA NDIYO JEMBE, YANGA YACHEZEA KICHAPO CHA 3-1

Hamis Tambwe wa Simba akipiga mkwaju wa penalti ulioingia kimianikuandika bao la pili la Simba, katika dakika ya 42, ya mecahi ya timu hizo ya Nani Mtani Jembe, jioni hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hadi mwisho wa mchezo Simba imetoka kidedea kwa mabao 3-1. PICHA KUTOKA MICHUZI BLOG

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages