Breaking News

Your Ad Spot

Jan 13, 2014

BALOZI WA TANZANIA MAREKANI AMTEMBELEA DEWJI

DSC_0023
CEO wa Kampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji Balozi (kulia) akimsindikiza Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
DSC_0024
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula, akifurahia jambo na Mh. Mohammed Dewji alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar.
DSC_0027
DSC_0029
Mh. Mohammed Dewji akimtambulisha Mshauri wa miradi ya Kampuni ya MeTL Group, Bw. Sudi Mwanasala (kulia) kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mh. Liberata Mulamula.
DSC_0035
Mohammed Dewji akibadilishana mawazo na Balozi Liberata Mulamula na Mshauri wa Miradi ya Kampuni za MeTL Group, Bw. Sudi Mwanasala.
DSC_0037

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages