Breaking News

Your Ad Spot

Jan 12, 2014

DK. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar  Dk. Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi alipoingia kwenye Uwanja wa Amaani kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar kwenye kilele cha sherehe za miaka ya 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

  Rais Yoweri Museven akisalimiaana na baadhi ya maafisa wa jeshi alipowasili kwenye Maadhimisho hayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya vikosi vya ulinzi katika kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,huko uwanja wa Amaan leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la  vikosi vya ulinzi katika kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,huko uwanja wa Amaan leo
Baadhi ya wananchi kwenye maadhimisho hayo
Wananchi kwenye maadhimisho hayo


Viongozi wa Kitaifa akiwemo Rais Jakaya Kikwete na wa  Mataifa walioalikwa katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Amaan,wakati harakati mbali mbali zikiendeklea kiwanjani hapo leo na Mgeni rasmi Dk.Ali Mohamed Shein. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages