Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi Nahodha wa Timu ya KCC ya Uganda, Kawoya Fahad, baada ya timu hiyo kuibuka bingwa katika mchezo wa fainali Kombe la Mapinduzi, baada ya kuichapa Simba bao 1-0, kwenye Uwanja wa Amaan Mjni Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu).
Your Ad Spot
Jan 13, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269