Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kampuni ya
Kichina ya China Merchant Holdings International (CMHI) Ofisini kwake
jijini Dar es salaam, LEO. Kushoto kwake ni Kiongozi wa
Ujumbe huo , Hu Jianhua na kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Dr. Mary Nagu. Kampuni hiyo inatarajiwa kujenga bandari mpya ya
Bagamoyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269