Breaking News

Your Ad Spot

Jan 15, 2014

RAIS KIKWETE AWAJULIA HALI MZEE MSUYA NA WAZIRI WA KAZI NA UTUMISHI ZANZIBAR

 Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali, Waziri Mkuu wa zamani, Cleopa David Msuya katika hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Waziri wa Kazi na Utumishi Zanzibar, Haruna Ali Suleiman, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo, Jan 15, 2014.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages