Ikiwa ni muendelezo wa kukufichulia matukio ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake, kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na Televisheni ya EATV kila Jumanne saa tatu kamili usiku, wiki hii kimekufichulia kisa cha mwanamke aliyekatwa mkono na mume wake huko Geita.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269