Breaking News

Your Ad Spot

Jan 8, 2014

UZINDUZI WA TAASISI YA MWAHARAKATI BIBI BINTI SAAD

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, alipohudhuria katika Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad,katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel jana,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya mapinduzi Ya zanzibar (katikati) Bibi Nasra  Mohamed Halal Mwenyekiti wa Taasisi.
 Prof Laura Fair, aliyefanya utafiti na kutunga kitabu cha wa mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad,akizindua kitabu hicho wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya mwanaharakati huyo iliofanya jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shei,(hayupopichani) katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel mjini Unguja,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
 Historia ya Harakati za wanawake ikitolewa na Dk. Amina Ameir, mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kumpongeza Dk.Amina Ameir, baada ya kutoa Historia ya Harakati za wanawake katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanziba
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,(akiyesimama) akiwa mlezi wa  Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad, akimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuizindua taasisi hiyo katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi na wananchi wakati alipozindua Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisoma maandishi yanayosomeka "TAASISI YA MWANAHARAKATI BIBI: SITI BINTI SAAD" mara baada ya kufanya izinduzi wa Taasisi hiyo jana katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Picha ya Bibi Siti Binti Saad, Nasib  Amour, kwa niaba ya Zanlink, ambayo ilyonadishwa na kufikia bei ya Tsh Laki Tano,pia zanlink itawaunganishia Mtandao wa Internet kwa mwaka mmoja,wenye gharama ya Dola Elfu moja na Nusu,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimakabidhi Picha ya Bibi Siti Binti Saad, Mbunge wa Jimbo la Mpendae Salum Turky,aliyoinunua kwa mnada kwa bei ya Tsh Millioni Moja, wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Picha ya Bibi Siti Binti Saad,Prof Martin Mhando,mwanakamati katika taasisi, iliyonadihswa kwa bei ya Tsh laki mbili na Hamsini Elfu,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
Kikundi cha Taarab asilia cha Rahatu  zamani,kikitoa burudani yao wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bnti Saad,katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,(pichani) Muharami  Mohamed,kitukuu akiimba moja ya nyimbo za Marehemu Bibi Siti Binti Saad,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja iliyowajumuisha Viongozi wakuu wa Serikali na wasanii wa Kikundi cha Taarab asilia cha Rahatu  zamani,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bnti Saad,katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja iliyowajumuisha Viongozi wakuu wa Serikali na wana kamati wa  uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bnti Saad,katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages