Breaking News

Your Ad Spot

Feb 3, 2014

HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA KINANA KWA WAANDISHI WA HABARI NA WASANII BAADA YA SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, akizungumza na waalikwa kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kwa ajili ya waandishi wa habari na wasanii baada ya sherehe za maadhimisho ya miaka 37 ya CCM, zilizofanyika Februari 2, mwaka huu jijini Mbeya. Hafla hiyo ya chakula cha jioni ilifanyika  kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Mbeya. Picha zaidi>Bofya Hapa

2 comments:

  1. Mgongo asante kwa maoni yako. Lakini mimi kwa upande wangu naona hii ni shukrani si takrima, maana takrima hutolewa mwanzo kwa shughuli, lakini hawa waandishi na wasanii walikuwa wamemaliza shughuli zote za sherehe za miaka 37 ya CCM. Sasa unaiitaje takrima wakati walikuwa hawaitarajii wala hawakuwa wameahidiwa kabla????

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages