Breaking News

Your Ad Spot

Feb 2, 2014

SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM ZAFUNIKA MBEYA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya kuwaongoza wana-CCM katika kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya CCM leo  Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wananchi waliofurika katika Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya alipoingia Uwanjani huku akiwa na Mwenyekiji wake, Katibu Mkuu wa CCM, Abdurlahman Kinana

 Hii ndiyo CCM, Rais Jakaya Kikwete akisema, huku akionyesha alama ya CCM ya jembe na nyundo ambayo aliichukua kwa mmoja wa mashabiki wa CCM walioingia nayo Uwanjani. Picha na theNkoromo Blog>>> Picha nyingine 20 za tukio hili BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages