Breaking News

Your Ad Spot

Feb 7, 2014

KIKAO MAALUMU CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU CHAFANYIKA DAR

 Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akisoma dua kabla ya kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaa
 Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa wakiomba dua katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kabla ya kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kwa picha nyingine zaidi ya 30 za tukio hili, Tafadhali>  BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages