Breaking News

Your Ad Spot

Feb 8, 2014

MASHINDANO YA NGUMI NELSON MANDELA OPEN BOXING CHAMPIONSHIP YAZIDI KUNOGA KAWE

Bondia Habasi Hamisi wa Kigoma akikwepa konde la Mustafa Murinho  wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open Championship yaliyofanyika kwenye  viwanja vya iliyokuwa Tanganyika Packers Kawe  jijini Dar es salaam Morinho alishinda kwa point mpambano huo na kuingia fainali. Picha zaidi za mashindano hayo ingia ukurasa wetu wa Spoti au  BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages