Breaking News

Your Ad Spot

Feb 24, 2014

MTEMVU ACHANGIA SHILINGI MILIONI MOJA VICOBA WA MASHINE YA MAJI TEMEKE

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (aliyevaa miwani) akilakiwa na wanachama wa Masdhine ya Maji Vicoba alipowasili kwa ajili ya sherehe ya kuitunisha mfuko wa Vicoba hiyo iliyopo Temeke, Dar es Salaam. Mtemvu alichangia sh. milioni moja
 Mtemvu akimkabidhi Agnes Mangula cheti cha kuhitimu mafunzo ya uwezeshaji wa mpango wa VICOBA wakati wa hafla hiyo
 Mwanachama Novatus Sambi akikabidhiwa cheti baada ya kuhitimu mafunzo hayo
 Mtemvu akihutubia wakati wa hafla hiyo aliwaasa viongozi kutofuja fedha za VICOBA na kwamba atakayethubutu kufanya hivyo atatiwa ndani na kutakiwa kurejesha fedha.
 Mtemvu akihesabu fedha tayari kuichangia VICOBA hiyo ya Mashine ya Maji
 Mtemvu akikabidhi mchangio wake
Mmoja wa wageni waalikwa kwenye hafla hiyo akitoa ahadi ya mchango.(PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages