Breaking News

Your Ad Spot

Feb 24, 2014

WANAFUNZI WA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WATEMBELEA TBL DAR

Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (wa pili kushoto), akitoa maelezo kuhusu mitambo ya kutengeneza bia wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.
SAWE AKIWAONESHA WANAFUNZI AINA YA MALIGHAFI YA HOPS INAYOTUMIKA KUTENGENEZEA BIA
Wanafunzi wakipata maelezo kutoka kwa Sawe kuhusu upikaji wa bia kwa njia ya kisasa
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (kulia), akitoa maelezo jinsi bia inavyopikwa  kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.
Wanafunzi wakiwa maabara ya kiwanda hicho

Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (kulia), akitoa maelezo kuhusu mitambo ya kuchachua bia wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (kulia), akitoa maelezo jinsi mitambo ya kuchuja bia inavyofanyakazi wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa
ni sehemu ya mafunzo yao.
Mtambo wa kufunga bia za kopo kwenye makasha
                                  Bia zikiwa tayari
Makret ya bia yakiwa tayari kiiwandani hapo
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (wa pili kulia) akiwa na Mkufunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Nassoro Sekiuye (kulia kwake) pamoja na  wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages