Breaking News

Your Ad Spot

Feb 4, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA HUNDI YA SH. MILIONI 100 KUTOKA BENKI YA CRDB KUSAIDIA WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO MKOANI MOROGORO



  Rais Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Hundi ya Shilingi Milioni 100 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, kusaidia waathirika  wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo Februari 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia pia masuala ya maafa pamoja na maafisa wa CRDB.
 Rais Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete Mhesimiwa akimkabidhi Mhe William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia pia masuala ya maafa pamoja na maafisa wa CRDB, hundi ya shilingi milioni 100 iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, zikiwa ni msaada wa benki hiyo kwa waathirika wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo Februari 4, 2014.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika  wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo Februari 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia pia masuala ya maafa pamoja na maafisa wa CRDB. 

Rais Dk.  Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100  kutoka benki hiyo kusaidia waathirika  wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo Februari 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia pia masuala ya maafa pamoja na maafisa wa CRDB. Picha zote na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages