Breaking News

Your Ad Spot

Mar 23, 2014

JWTZ WADAIWA KUVAMIA MAENEO YA WANANCHI KIMBIJI, DAR

DAR ES SALAAM, Tanzania
Kikosi Kimoja cha Jeshi la Wananchi JWTZ  kimedaiwa kuvamia maeneo yanayodaiwa kuwa ya wananchi na kuvunja makazi na kufanya uaribifu mkubwa, Dar es Salaam.

Taarifa iliyosambazwa kwenye mitamdao na mdau John Kisamo kwenye email ya jkisomo@gmail.com,  imesema tafrani hiyo imetokea eneo la Kimbiji, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam na kusababisha hali ya mashaka kwa wananchi.

Amedai wenyeji wa Kimbiji ambao wanamilikia maeneo na ni wakazi wa asili maeneo hayo wamekuwa wakipata usumbufu na vitisho vya wanajeshi wenye nia ya kuwanyang'anya ardhi kwa kutumia mwavuli wa jeshi.

Mdau huyo ametoa mawasilino ya namba za Diwani simu 0713768082  au Mwenyekiti 0713846688 kwa atakayetaka kujua habari hii kwa kina.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages