Katibu Mkuu wa CCM, Kanali Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mjumbe wa Kamisheni wa Chama cha Frelimo cha Msumbiji Jenerali Raimundo Domingos, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Kanali Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamisheni wa Chama cha Frelimo cha Msumbiji Jenerali Raimundo Domingos, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Imetayarishwa na theNkoromo Blog
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269