Breaking News

Your Ad Spot

Mar 30, 2014

LADY GAGA AFANYA VITUKO VYA MWAKA KWENYE SHEREHE YAKE YA SIKU YAKE YA KUZALIWA ALMAARUFU BESIDEI

Lady Gaga 1
Mwanamuziki wa pop asiyeishiwa  vituko kila kukicha, Lady Gaga (Pichani) ametoa mpya baada ya kuvaa nguo iliyomuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake kiasi kwamba unaweza ukaona kila kitu alichovaa kwa ndani wakati  akisherehekea  siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 28  iliyofanyika katika ukumbi wa ‘Roseland Ballroom’ New York Marekani 

”Asanteni sana kwa kujumuika na mimi kwenye bethidei yangu, nilipoamka asubuhi nilikuwa na furaha. Nilikuwa nahamu ya kuwepo hapa usiku huu. Nina marafiki wengi hapa..mashabiki wengi na nimekulia kwa miaka sita” alisema Gaga
Lady Gaga

Lady Gaga

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages