Breaking News

Your Ad Spot

Mar 6, 2014

RAIS KIKWETE AKITETA NA MTOTO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Avinus Aristide katika Kata ya Bugandika Wilayani Misenyi, Mkoani Kagera hivi karibuni wakati wa Mazishi ya aliyekuwa mkuu wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam Marehemu Fulgence Kazaura. (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages