Ridhiwani akimsalimia Mzee Salum Khalifan baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, Kata ya Fukayosi, leo
Mandhari kwenye mkutano wa kampeni za CCM Kijiji cha Kidomole, Kata ya Fukayosi, leo
Ridhiwani akiteta jambo na kijana wa jamii wa wafugaji baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, kata ya Fukayosi
Ridhiwani akisalimiana na Kina mama baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, Kata ya Fukayosi
Dokii wa kijana Omari Seseme wa kijiji cha Kidomole, Kata ya Fukayosi
7. vijana wakimsangilia Riz baada ya mkutano wake wa kampeni katika Kijiji cha Mkenge Kata ya Fukayosi
Othman Muchuzi wa Michuzi Media Group akizungumza na mzee wa Kijiji cha Kidomole, kaya ta Fukayosi wilayani Bagamoyo. Othman ni miongozi mwa waandishi na Bloggers walioko kwenye kampeni za Ridhiwani Kikwete kuwania jimbo la Chalinze. Picha zote na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog
AHANI MISIBA NYUMBANI KWA WAPIGA KURA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ridhiwani Kikwete akiwa kwenye msiba wa Zaidi muharami aliyefariki kwa ajali ya kugongwa na gari katika kata ya Fukayosi.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akiondoka kwenye msiba wa Zaidi Muharami aliyefariki kwa ajali ya kugongwa na gari.
Mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM, Ridhiwani Kikwete akimpa mkono wa pole Mama Renata Paschal aliyefiwa na watoto wake wawili kwa ajali ya kuzama kisimani, aliyesimama pembeni ni Baba wa watoto hao Geofrey Nestroy.
Ridhiwani Kikwete akitoa pole kwa familia hiyo ambayo imeondokewa na watoto wawili wa familia pamoja katika kijiji cha Msinune kitongoji ya Kaloleni.
Makaburi ya watoto Redempta Geofrey (2) na Jesca Geofrey (5) ambao wamekufa maji baada ya kutumbukia kisimani tarehe 18 na kuzikwa tarehe 19 mwezi Machi katika kijiji cha Msinune kitongoji cha Kaloleni.












No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269