Breaking News

Your Ad Spot

Mar 22, 2014

PINDA AFUNGA WIKI YA MAJI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa Mkonze katika Maanispaa  ya Dodoma katika kilele cha wiki ya maji Machi 22, 2014. Kushoto kwake ni Waziri wa Maji, Profesa  Jumanne Maghembe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa Mkonze katika Maanispaa  ya Dodoma katika kilele cha wiki ya maji Machi 22, 2014. Kulia ni Waziri wa Maji, Profesa  Jumanne Maghembe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtwika maji, Bibi Edna petro baada ya kuzindua mradiwa maji wa Mkonze katika Manispaa ya Dodoma ikiwa ni moa ya shughuli za kilele cha wiki ya maji  Machi 22, 2014.(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka jiwe lamsingi la  mradi wa maji wa  tangi la maji la Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa ni moja ya shughuli za kilele cha wiki ya maji Machi 22, 2014.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma baada ya kuweka jiwe la msingi la  mradi wa tangi la maji  ikiwa ni moja ya Shughuli za kilele cha wiki  ya maji  Machi 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipita ndani ya bomba kubwa la maji  katika maonyesho ya shughuli mbalimbali zinazohusiana na maji  yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma kabla ya kutoa hotuba ya kufunga wiki ya maji Machi 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages