Breaking News

Your Ad Spot

Mar 12, 2014

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA LEO NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VINAVYOSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO KALENGA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia) akishauriana jambo na jopo la wajumbe wa tume hiyo, wakati wakisubiri kuzungumza na wawakilishi wa vyama vinavyoshiriki kinyang'anyiro cha uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini. Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar, Hamad Mahmoud Hamid (kushoto) na Wajumbe, Jaji Mstaafu John Mkwawa na Profesa Amon Chaligha. Uchaguzi katika jimbo hilo utafanyika Machi 16, mwaka huu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages