Breaking News

Your Ad Spot

Apr 11, 2014

BASI LA SMART LAPATA AJALI NA KUUA WAWILI LUGOBA MKOA WA PWANI

Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko
Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo. Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera.PICHA NA HABARI NA DJ SEK BLOG

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages