Breaking News

Your Ad Spot

Apr 11, 2014

LIONS CLUB YAMTUNUKU RAIS KIKWETE MEDALI YA UONGOZI BORA

 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini, Alexandre Leveque na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Alexandre Leveque
 Gavana wa Shirika la Lions Club nchini Bwana Wilson Ndesanjo akimvika Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete medali maalum ya Uongozi Bora na mahusiano mema wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Bwana Ndesanjo alisema klabu hiyo imeamua kumtunuku Rais Kikwete medali hiyo kwa kutambua mafanikio makubwa yaliyopatikana nchini katika Nyanja mbalimbali kutokana na uongozi wake mahiri.
 Rais ikiweka sawa medali
 Rais Kikwete akimshukuru Gavana wa Shirika la Lions Club nchini, Wilson Ndesanjo
 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa klabu ya Lions waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo kushiriki hafla ya kumtunuku Rais Kikwete medali maalumu ya Uongozi Bora na Mahusiano mema.
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salam leo (picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages