Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar
es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika)
akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo ambayo itamuwezesha mtanzania yeyote kuweza kupimamacho na kupewa
miwani kwa gharama nafuu, (wapili kulia ) ni Rasi wa Chama cha wataalamu wa
macho nchini (TOA) Frank Magupa
(wapili kushoto) ni Ofisa Mkazi
wa Shirika la Brien Holden
Vision Institute hapa nchini Eden
Mashayo, wakwanza kushoto ni mratibu wa mradi huo Rebecca Kasika.uzinduzi huo
ulifanyika katika viwanja vya Free
Market jijini Dar es Salaam.
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Macho hapa
nchini(TOA) Frank Magupa
(kushoto)akiongea wakati wa uzinduzi wa miwani ya Kibo jijini Dar es Salaam, ambapo huduma za macho
zitatolewa hospitali za manispaa za
Ilala ,Kinondoni na Temeke .Wananchi watapata fursa ya kupima macho na kupewa
miwani kwa bei nafuu ambayo kila mtu ataimudu .Katikati ni Ofisa Mkazi wa Shirika la
Brien Holden Vision
Institute hapa nchini Eden Mashayo
Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar
es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa
watoa huduma ya kupima macho wakati alipotembelea banda la Ilala Eye Centre
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Macho hapa
nchini(TOA) Frank Magupa
(kushoto)akimwelezea ubora wa
miwani ya Kibo Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,
Fulgens Lisakatu katika hafla ya
uzinduzi wa miwani ya Kibo
Baadhi
ya wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa miwani aina ya Kibo yenye gaharama
nafuu kwa wananchi,sense ya 2012
inaonyesha kuwa mkoa wa Dar es
Salaam,unawakazi zaidi ya Miliono Nne, na takwimu ya zilizotolewa na Mratibu wa
Afya wa Dar es Salaam,kuanzia mwaka 2010 hadi 2013 zinaonyesha kuwa jumla ya
wananchi 39,863. Wanaishi na ugonjwa wa Macho. Shirika la Holden Vision
Institute na Taassisi ya wanaoptometria hivi karibuni walizindua miwani aina ya
Kibo ambayo gaharama yake ni nafuu
Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar
es Salaam, Fulgens Lisakatu akiongea na wananchi waliohufika katika uzinduzi wa
miwani ya Kibo
Ofisa Mkazi wa Shirika la
Brien Holden Vision
Institute hapa nchini Eden Mashayo
,akiongea kuhusioana na utoaji wa huduma za kupima macho na kupewa miwani ya Kibo
Wafanyakazi wa Shirika lisilo la kiserikali la Brien
Holden Vision Institute wakiwa ,katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
,Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens .Baada
ya kumalizika kwa uzinduzi wa miwani ya Kibo , uliofanyika katika viwanja vya
Free Market jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269