Breaking News

Your Ad Spot

Apr 16, 2014

KINANA AKAGUA KWA VITENDO UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA KUIMARISHA UHAI WA CHAMA WILAYA MPYA YA INYONGA MKAONI KATAVI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  akikabidhi kadi ya CCM kwa mmoja wa wanachama wampya wa CCM Geofrey Mbwaga, katika kikao cha shina kilichofanyika nyumbani kwa balozi wa shina namba tano, tawi la Nsimbo, Joseph Wavuu, wilaya ya Mlele mkoani Katavi, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  akizungumza  katika kikaocha shina kilichofanbyika nyumbani kwa balozi wa shina namba tano, tawi la Nsimbo, Joseph Wavuu (wapili kulia), wilayani Mlele mkoani Katavi, , leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Mjumbe wa Shina namba tano, Mzee Aarom Kasilo, wakati wa kikao kilichohudhuriwa na Kinana nyumbani kwa balozi wa shina hilo, tawi la Nsimbo, Joseph Wavuu, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa chumba cha maabara kwenye shule ya sekondari Mtapenda, iliyopo katika Halmashauri ya Nsimbo wilaya ya Mlele mkoani Katavi, , leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo.
 Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana akipanda mti baada ya kuzindua ujenzi wa chumba cha maabara shule ya sekondari Mtapenda, Halmashauri ya Nsimbo wilaya ya Mlele mkoani Katavi, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo.
 Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume akipanda mti wakati wa uzinduzi wa ujenzi  maabara shule ya sekondari Mtapenda, uliofanywa na Kinanakatika Halmashauri ya Nsimbo wilaya ya Mlele mkoani Katavi, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
 Kinana akishiriki kufyatua matofali ya ujenzi wa kisima cha maji katika Kijiji cha Mwenge, katika Halmashauri ya Nsimbo, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
 Kinana akibeba tofali baada ya kulifyatua waliposhiriki kufyatua matomali kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kisima cha maji wa kijiji cha Mwenge, katika Halmashauri ya Nsimbo, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
 Taswara ya Kisima kinachojengwa katika Kijiji cha Mwenye, Nsimbo
 Kinana akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwenge baada ya kushinriki ujenzi wa kisima cha mradi wao wa maji katika kijiji hicho, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua kiwanja yatakakojengwa Makao Mkuu ya wilaya mpya ya Mlele, eneo la Inyonga mkoani Katavi,  leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
 Kinana na Nape wakiongoza msafara kutoka eneo la tukio, baada ya kuzindua ujenzi wa Ofisi hiyo ya CCM
 Kinana akizindua ujenzi nyumba 60 zitakazojengwa na Shirika la Nyumba la taifa (NHC) Inyonga, wilaya mpya ya Mlele 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwagilia matofali, baada ya kushiriki kufyatua matofali kwa ajili ya mradi wa ujenzi Ofisi ya CCM ya Wilaya mpya ya Mlele, eneo la Inyonga,  leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
 Mbunge wa viti maalum, Pudenciana Kikwembe akishiriki ufyatuaji huo wa matofali kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi hiyo ya CCM wilaya ya Mlele
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akienda kulipanga mahala pake baada ya kulifyatua tofali, aliposhiriki ufyatuaji wa matofali kwa ajili ya mradi wa ujenzi Ofisi ya CCM, wilaya ya Mlele katika eneo la Inyonga mkoani Katavi. 
 Kinana akisalimiana na watumishi wa Kituo cha Afya cha Inyonga, wakati wa ziara yake wilayani Mlele.
 Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Inyonga, Dk. Adis Koni akimpatia maelezo Kinana na viongozi wengine wa chama na serikali kuhusu kucheleweshwa kwa makusudi kituo hicho kukipa hadhi ya kuwa hospitali ya wilaya. Ucheleweshwaji huo unafanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Kinana akioneshwa baadhi ya vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa msaada na Mbunge wa Jimbo la Katavi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda 
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Inyonga,wilayani Mlele mkoani Katavi mapema jioni ya  leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages