Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akuhutubia maelfu ya wananchi katika Kijiji cha Kurugongo, wilayani Kasulu mkoani Kigoma leo jioni. Kinana yupo katika ziara ya siku tano mkoani Kigoma kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua. Picha na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269