Breaking News

Your Ad Spot

Apr 26, 2014

RAIS KIKWETE AMTUNUKU NISHANI WARIOBA

 1
 2
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Kwanza Waziri Mkuu mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba  Mhe. JajiJoseph Sinde Warioba wakati wa Sherehe za kutunuku nishani hizo jana usiku, Ikulu jijini Dar es Salaam (picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages