Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni
wa PPF Bi. Lulu Mengele akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo Pichani) kuhusu
wastaafu kwenda kuhakiki taarifa za mafao katika Ofisi za Mfuko huo, wakati wa
Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar
es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Frank Mvungi.
|
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269