Breaking News

Your Ad Spot

May 29, 2014

DR. BILALI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BODI YA WAKANDARASI NCHINI


Baadhi ya wakandarasi wakila kiapo cha  utiifu wakati wa mkutano mkuu wa Bodi ya wakandarasi nchini  uliofanyika jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais Dr Mohamed Ghalib Bilali akipata maelezo kutoka kwa afisa masoko wa kampuni ya ORBIT DEVELOPER  LTD  ambao ni wauzaji wa Viwanja katika eneo la Bagamoyo


Makamu wa Rais Dr Mohamed Ghalib Bilali akikagua Magari na Mitambo ya  kampuni ya GF Trucks & Equipments wakati wa Mkutano mkuu wa Bodi ya Wakandarasi jijini Dar es Salaam .Kampuni hiyo ya GF ni miongoni mwa wazamini wa Mkutano huo


Makamu wa Rais Dr. Mohamed Ghalib Bilali,akipata maelezo wakati alipotembelea banda la Hyundai. Picha zote na Kusini Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages