Breaking News

Your Ad Spot

May 29, 2014

KINANA ATINGA BABATI LEO, KUENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza baada ya kuzindua shina la  Magugu, Babati leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza baada ya Kinana kuzindua shina la  Magugu, Babati
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua shina la  wakereketwa wa CCM, wajasiriamali wa wakoboa mchele wa Magugu, Babati
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda mti baada ya kukagua wodi ya mama na mtoto kwenye Kituo cha Afya Magara, Babati, leo
 Mbunge wa Babati, Jitu Soni akieleza alivyotekeleza ailani ya CCm katika jimbo lake, Kinana alipokagua ujenzi Kituo cha Afya Magara, leo
 Kinana akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa wodi ya Mama na mtoto kwenye kituo cha Afya cha Magara, Babati, leo.
 Nape akizungumza baada ya Kinana kukagua ujenzi wa wodi ya Mama na mtoto kwenye kituo cha Afya cha Magara, Babati, leo.
 Msafara wa Kinana ukipita kwenye mto Magara wakati ukitoka Mbulu kuingia babati leo
Kinana akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Magara, wakati akiingia Babati, leo. Picha na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages