First Lady anayetokea katika Lebo ya Mavin mwenye makazi yake nchini Nigeria, Mwanadada ‘Tiwa Savage’ ameachia Video mpya ya wimbo wake unaoitwa ‘Wanted’ uliotengenezwa katika mahadhi ya kimahaba chini ya muongozaji Moe Musa. “There’s nothing you can do, that’s why I stay wanted” proclaim she’s the best in the game and her sensual moves and avant-garde outfits convince us hiyo ni sehemu ndogo ya mashairi utakayopata kuyasikia ndani ya video hiyo. Itupie Jicho hapo Chini..

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269