Breaking News

Your Ad Spot

May 21, 2014

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR.

 Muakilishi wa Kuteuliwa Marina Joel Thomas akipitia masuala mbalimbali ndani ya ukumbi wa Baraza la wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
 Muakilishi wa jimbo la Kitope Makame Mshimba Mbarouk akiuliza maswali ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
 Muakilishi wa Jimbo la Wawi Swaleh Nasor Juma akiuliza maswali katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.


-Waandishi wa Habari wakiwa katika kazi zao katika Ukumbi wa Juu wa Baraza la wawakilishi  mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages