Breaking News

Your Ad Spot

May 21, 2014

WAJASILIAMALI WALEMAVU WALIVYOFUNGA BARABARA JIJINI DAR JANA


Kundi la walemavu, wajasilimali wafanyabiashara ndogo ndongo, leo Mei 20, 2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa masaa matatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa Juu ya gari kuangalia tukio hilo lililodumu kwa muda wa zaidi ya masaa matatu katika eneo la makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume). 
Baadhi ya Walemavu wakiwa wamekaa katikati ya Barabara.
Msururu mrefu wa Magari uliosababishwa na mgomo huo wa wafanya biashara ndogondogo na Walemavu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages