Breaking News

Your Ad Spot

May 25, 2014

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DKT.MARRY MWANJELWA ATEMBELEA NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI KYELA

 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mpunguti wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, alipoenda kuwapa pole ya mafuriko na kukabidhi mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere wilayani humo jana.
 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akikabidhi mashuka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mpunguti wilayani Kyela jana,  alipotembelea waathirika wa mafuriko wilayani humo na kutoa mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere.
 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akipewa mkono wa shukrani na Mzee Lington Mwakatundu wa Kijiji cha Nyerere kata ya Bujonde wilayani Kyela jana, alipotembelea waathirika wa mafuriko wilayani humo na kutoa mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akivuka daraja la mianzi katika Kijiji cha Mpunguti wilayani Kyela jana,  alipotembelea waathirika wa mafuriko wilayani humo na kutoa mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages