Breaking News

Your Ad Spot

May 27, 2014

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Dk Reginald Mengi amewapongeza wafanyakazi wa makampuni ya ipp kwa kufanya kazi kwa bidii na weledi akisistiza nia yake ya kufikia hatua ya watumishi kuwa sehemu ya umilliki wa makampuni hayo kwa kununua hisa kama hatua ya kuongeza uwajibikaji na uzalendo katika utendaji kazi.


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages