Breaking News

Your Ad Spot

May 27, 2014

MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA JIMBO LA SINGIDA MJINI HAIJAWAHI KUTOKEA, WAINGIA KWA STAILI YA AINA YAKE WAKITUMIA BODABODA NA BAJAJI

 DSC_0961
   Mdau Rahim Zamunda (kulia) akifurahi kwenye picha ya pamoja na Mh. Mohammed Dewji.
DSC_0204

Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mh. Mwigulu Nchemba wakiwa kwenye boda boda, wakati wa msafara wa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika eneo la viwanja vya People’s Club mjini Singida.
DSC_0232
Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana , sambamba na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,wakiwasili kwenye viwanja vya People’s Club kwenye mkutano wa hadhara kwa staili ya aina yake kwa kutumia usafiri wa Bajaji.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages