

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mavuno ya mahindi kutoka
shambani kwake yaliyokusanywa nyumbani kwake Kibaoni wilayani Mlele,
Mpanda Mai 24, 2014. Mheshimiwa Pinda anatarajia uvuna zaidi ya magunia
1000 ingawa ekari tano za mahindi hayo ziliharibiwa na Tembo kutoka
hifadhi ya katavi.Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269