

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa
Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mhe.Nguyen Phuong Nga wakati waziri
huyo alipomtermbelea Jana ikulu jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy
Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269