Breaking News

Your Ad Spot

May 20, 2014

PICHA NA VIDEO: HATIMAYE JIJI LA MBEYA WAFANIKIWA KUMKAMATA YULE CHATU ALIYEKUWA ANATISHIA MAISHA YA WANAINCHI



 
Hii ni Video ikionesha namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa..Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM
Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na
Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji.

Mtaalamu wa Kukamata Nyoka

Mtaalamu wa Kukamata Nyoka




Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa
Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu
huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi
zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo....

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages